Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 20:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Utanifanyia madhabahu ya udongo,+ nawe utatoa juu yake dhabihu za matoleo yako ya kuteketezwa na dhabihu zako za ushirika, kundi lako na mifugo yako.+ Katika kila mahali ambapo nitalifanya jina langu likumbukwe nitakuja kwako, nami hakika nitakubariki.+

  • Kumbukumbu la Torati 12:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 lakini mahali ambapo Yehova Mungu wenu atachagua kutoka katika makabila yenu yote ili kuliweka jina lake hapo, kulifanya likae, hapo ndipo mtapatafuta, nanyi mje hapo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki