-
Kutoka 33:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Na itakuwa kwamba utukufu wangu utakapokuwa ukipita nitakutia katika shimo ndani ya mwamba, nami nitaweka mkono wangu juu yako uwe kisitiri mpaka niwe nimepita.
-