Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Nami hakika nitaleta juu yenu upanga unaolipiza kisasi+ kwa ajili ya agano;+ na hakika ninyi mtajikusanya katika majiji yenu, nami hakika nitaleta tauni katikati yenu,+ nanyi mtatiwa mkononi mwa adui.+

  • Kumbukumbu la Torati 28:52
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 52 Nao kwa kweli watakuzingira ndani ya malango yako yote mpaka kuta zako ndefu na zenye ngome ambazo unazitumaini zitakapoanguka katika nchi yako yote, naam, hakika watakuzingira ndani ya malango yako katika nchi yako yote, ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki