Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Nanyi mtachukua tawi la hisopo+ na kulichovya katika damu iliyo ndani ya beseni na kuipaka sehemu ya juu ya mlango na juu ya ile miimo miwili ya mlango kwa kiasi fulani cha damu iliyo kwenye beseni; na yeyote kati yenu asitoke nje ya mlango wa nyumba yake mpaka asubuhi.

  • Hesabu 19:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Ndipo mtu aliye safi+ atachukua hisopo+ na kuichovya ndani ya maji yale na kuyatapanya juu ya hema na vyombo vyote na nafsi zote zilizokuwa hapo na juu ya yule aliyegusa mfupa au mtu aliyeuawa au maiti au kaburi.

  • Zaburi 51:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Unitakase kwa hisopo kutokana na dhambi, ili nipate kuwa safi;+

      Unioshe, ili nipate kuwa mweupe kuliko theluji.+

  • Waebrania 9:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Kwa maana wakati kila amri kulingana na Sheria ilipokuwa imesemwa na Musa kwa watu wote,+ alichukua damu ya wale ng’ombe-dume wachanga na ya wale mbuzi pamoja na maji na sufu nyekundu na hisopo+ na kukinyunyizia kile kitabu na watu wote,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki