Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 6:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Na tena akajenga vile vyumba+ vyenye urefu wa mikono mitano vikiwa kwenye ubavu wa ile nyumba yote, navyo vikaunganishwa na nyumba kwa mbao+ za mierezi.

  • Ezekieli 41:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Naye akapima ukuta wa nyumba, mikono sita. Na upana wa chumba cha kando ulikuwa mikono minne, kuzunguka pande zote; uliizunguka nyumba yote pande zote.+

  • Ezekieli 41:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Na kulikuwa na madirisha yenye kiunzi chenye upana tofauti+ na maumbo ya mitende upande huu na upande ule kandokando ya kumbi za kando na vyumba vya kando vya nyumba na vile vipaa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki