Kumbukumbu la Torati 10:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Ndipo Yehova akaniambia, ‘Ondoka, nenda mbele ya watu ili watoke, wapate kuingia na kuimiliki nchi ambayo nimewaapia mababu zao kwamba nitawapa wao.’+
11 Ndipo Yehova akaniambia, ‘Ondoka, nenda mbele ya watu ili watoke, wapate kuingia na kuimiliki nchi ambayo nimewaapia mababu zao kwamba nitawapa wao.’+