11 (Hiramu+ mfalme wa Tiro alikuwa amemsaidia Sulemani+ kwa mbao za mierezi na mbao za miberoshi na kwa kumletea dhahabu nyingi kama alivyopenda,)+ kwamba wakati huo Mfalme Sulemani akampa Hiramu majiji 20 katika nchi ya Galilaya.+
10 Ndipo akampa+ mfalme talanta 120 za dhahabu+ na mafuta mengi sana ya zeri+ na mawe ya thamani. Hayakuletwa kamwe tena mafuta ya zeri yaliyo mengi kama yale ambayo malkia wa Sheba alimpa Mfalme Sulemani.
21 Na vyombo vyote vya kunywea vya Mfalme Sulemani vilikuwa vya dhahabu, na vyombo vyote vya Nyumba ya Msitu wa Lebanoni+ vilikuwa vya dhahabu safi.+ Hapakuwa na kitu chochote cha fedha; fedha haikuhesabiwa kuwa kitu katika siku za Sulemani.