Kumbukumbu la Torati 20:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 “Ikiwa utazingira jiji siku nyingi kwa kupigana nalo ili kuliteka, usiharibu miti yake kwa kutumia shoka juu yake; kwa maana utakula kutokana nayo, nawe usiikate na kuiangusha,+ kwani mti wa shamba je, ni mtu ndipo uuzingire?
19 “Ikiwa utazingira jiji siku nyingi kwa kupigana nalo ili kuliteka, usiharibu miti yake kwa kutumia shoka juu yake; kwa maana utakula kutokana nayo, nawe usiikate na kuiangusha,+ kwani mti wa shamba je, ni mtu ndipo uuzingire?