2 Wafalme 23:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Tena akauondoa mti mtakatifu+ katika nyumba ya Yehova mpaka nje ya Yerusalemu, kwenye bonde la mto la Kidroni, akauteketeza+ kwa moto katika bonde la mto la Kidroni na kuusaga ukawa mavumbi, akayatupa mavumbi yake juu ya makaburi+ ya wana wa watu.
6 Tena akauondoa mti mtakatifu+ katika nyumba ya Yehova mpaka nje ya Yerusalemu, kwenye bonde la mto la Kidroni, akauteketeza+ kwa moto katika bonde la mto la Kidroni na kuusaga ukawa mavumbi, akayatupa mavumbi yake juu ya makaburi+ ya wana wa watu.