-
2 Wafalme 10:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Sasa akamwambia yule aliyesimamia chumba cha nguo: “Toa mavazi kwa ajili ya waabudu wote wa Baali.” Basi akawatolea mavazi.
-
-
Nehemia 7:72Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
72 Na watu wale wengine walitoa drakma 20,000 za dhahabu na mina 2,000 za fedha na kanzu 67 za makuhani.
-