Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zekaria 14:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Na miguu yake itasimama katika siku hiyo juu ya mlima wa mizeituni, ulioko mbele ya Yerusalemu, upande wa mashariki;+ na mlima wa mizeituni+ utapasuliwa katikati,+ kutoka mashariki na upande wa magharibi. Kutakuwa na bonde kubwa sana; na nusu ya mlima ule itasogezwa upande wa kaskazini, na nusu yake upande wa kusini.

  • Matendo 1:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Ndipo wakarudi+ Yerusalemu kutoka katika mlima unaoitwa Mlima wa Mizeituni, ulio karibu na Yerusalemu, ukiwa ni umbali wa safari ya siku ya sabato.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki