-
1 Wafalme 13:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Na yule nabii akaibeba maiti ya yule mtu wa Mungu wa kweli na kuiweka juu ya punda, akairudisha. Basi akaja jijini mwa yule nabii mzee ili kumwombolezea na kumzika.
-