2 Wafalme 15:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Kwa hiyo Menahemu akaleta fedha ile kwa gharama ya Israeli, kwa gharama ya mashujaa wote, wanaume wenye nguvu,+ ili kumpa mfalme wa Ashuru shekeli 50 za fedha kwa kila mwanamume. Basi mfalme wa Ashuru akarudi, naye hakukaa humo nchini.
20 Kwa hiyo Menahemu akaleta fedha ile kwa gharama ya Israeli, kwa gharama ya mashujaa wote, wanaume wenye nguvu,+ ili kumpa mfalme wa Ashuru shekeli 50 za fedha kwa kila mwanamume. Basi mfalme wa Ashuru akarudi, naye hakukaa humo nchini.