16 Baada ya muda watu waliokuwa wamepiga kambi wakasikia habari, zikisema: “Zimri amepanga hila na pia akampiga na kumuua mfalme.” Basi Israeli wote wakamfanya Omri,+ mkuu wa jeshi, kuwa mfalme juu ya Israeli siku hiyo katika kambi.
18 Na ikawa kwamba mara tu Zimri alipoona kwamba jiji limetekwa, akaingia katika mnara wa makao wa nyumba ya mfalme, akaiteketeza kwa moto nyumba ya mfalme juu yake mwenyewe, hivi kwamba akafa,+