1 Wafalme 19:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Basi akaondoka hapo, akamkuta Elisha mwana wa Shafati akilima+ na jozi kumi na mbili za wanyama mbele yake, naye akiwa na ile ya kumi na mbili. Basi Eliya akavuka mpaka pale alipokuwa, akalitupa vazi lake rasmi+ juu yake. 2 Wafalme 2:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Kisha akalichukua lile vazi+ rasmi la Eliya lililokuwa limeanguka kutoka kwake, akarudi na kusimama kando ya ukingo wa Yordani.
19 Basi akaondoka hapo, akamkuta Elisha mwana wa Shafati akilima+ na jozi kumi na mbili za wanyama mbele yake, naye akiwa na ile ya kumi na mbili. Basi Eliya akavuka mpaka pale alipokuwa, akalitupa vazi lake rasmi+ juu yake.
13 Kisha akalichukua lile vazi+ rasmi la Eliya lililokuwa limeanguka kutoka kwake, akarudi na kusimama kando ya ukingo wa Yordani.