Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 9:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Hawa ndio waliokuwa vichwa vya upande wa baba vya Walawi kwa wazao wao, wanaume waliokuwa vichwa. Hao ndio waliokaa katika Yerusalemu.+

  • 1 Mambo ya Nyakati 24:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Nao wenyewe pia wakapiga kura+ sawasawa na walivyofanya ndugu zao wana wa Haruni mbele ya Daudi mfalme, na Sadoki na Ahimeleki na vichwa vya nyumba za ukoo wa upande wa baba vya makuhani na vya Walawi. Na kwa habari ya nyumba za ukoo wa upande wa baba,+ aliye kichwa alikuwa sawasawa na ndugu yake mdogo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki