Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 18:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Kwa hiyo Daudi akaondoka pamoja na watu wake, akapiga+ watu mia mbili kati ya Wafilisti, na Daudi akaleta magovi yao,+ akampa mfalme hesabu yake kamili, ili kufanya mapatano ya ndoa na mfalme. Naye Sauli akampa Mikali binti yake awe mke wake.+

  • 2 Samweli 3:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Naye akasema: “Vema! Mimi nitafanya agano pamoja nawe. Ila tu kuna jambo moja ambalo ninaomba kwako, nikisema, ‘Huwezi kuuona uso wangu,+ isipokuwa kwanza umlete Mikali,+ binti ya Sauli, utakapokuja kuuona uso wangu.’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki