-
2 Samweli 12:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Na watu waliokuwa ndani yake, akawatoa nje ili awatie kwenye kazi ya kukata mawe kwa misumeno na ya vifaa vya chuma vyenye ncha kali+ na ya mashoka ya chuma, naye akawafanya watumike kufyatua matofali. Na hivyo ndivyo alivyoyafanya majiji yote ya wana wa Amoni. Mwishowe Daudi na watu wote wakarudi Yerusalemu.
-