2 Samweli 24:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Mwishowe neno la mfalme likamshinda+ Yoabu na wakuu wa majeshi. Basi Yoabu na wakuu wa majeshi wakatoka mbele ya mfalme, wakaenda kuwaandikisha+ watu wa Israeli.
4 Mwishowe neno la mfalme likamshinda+ Yoabu na wakuu wa majeshi. Basi Yoabu na wakuu wa majeshi wakatoka mbele ya mfalme, wakaenda kuwaandikisha+ watu wa Israeli.