1 Mambo ya Nyakati 23:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Naye Yahathi akawa kichwa, Ziza wa pili. Nao Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; kwa hiyo wakawa nyumba moja ya ukoo wa upande wa baba+ kwa ajili ya tabaka moja rasmi.
11 Naye Yahathi akawa kichwa, Ziza wa pili. Nao Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; kwa hiyo wakawa nyumba moja ya ukoo wa upande wa baba+ kwa ajili ya tabaka moja rasmi.