Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 31:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Naye akakimbia, akaondoka na kuvuka ule Mto,+ yeye na vyote alivyokuwa navyo. Baada ya hapo akaelekeza uso wake kwenye eneo lenye milima la Gileadi.+

  • 1 Samweli 13:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Hata Waebrania wakavuka Yordani+ kwenda katika nchi ya Gadi+ na Gileadi. Lakini Sauli alikuwa bado katika Gilgali, na watu wote wakamfuata wakitetemeka.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki