Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 25:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Nawe utauweka mkate wa wonyesho juu ya meza hiyo mbele zangu daima.+

  • Mambo ya Walawi 24:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Katika siku moja ya sabato baada ya nyingine atauweka kwa utaratibu mbele za Yehova daima.+ Ni agano pamoja na wana wa Israeli mpaka wakati usio na kipimo.

  • 1 Samweli 21:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Basi kuhani akampa kilicho kitakatifu,+ kwa sababu hakukuwa na mkate mwingine hapo isipokuwa mkate wa wonyesho uliokuwa umeondolewa mbele za Yehova+ ili kuweka mkate mpya hapo, siku ambayo uliondolewa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki