1 Wafalme 22:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Na yule mjumbe aliyeenda kumwita Mikaya akamwambia, akisema: “Tazama, sasa! Maneno ya manabii kwa kauli moja ni mema kwa mfalme. Tafadhali, neno lako na liwe kama neno la mmoja wao, nawe useme mema.”+
13 Na yule mjumbe aliyeenda kumwita Mikaya akamwambia, akisema: “Tazama, sasa! Maneno ya manabii kwa kauli moja ni mema kwa mfalme. Tafadhali, neno lako na liwe kama neno la mmoja wao, nawe useme mema.”+