2 Mambo ya Nyakati 18:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Na yule mjumbe aliyeenda kumwita Mikaya akamwambia, akisema: “Tazama! Maneno ya manabii kwa kauli moja ni mema kwa mfalme; tafadhali, neno lako na liwe kama la mmoja wao,+ nawe useme mema.”+
12 Na yule mjumbe aliyeenda kumwita Mikaya akamwambia, akisema: “Tazama! Maneno ya manabii kwa kauli moja ni mema kwa mfalme; tafadhali, neno lako na liwe kama la mmoja wao,+ nawe useme mema.”+