Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 12:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Ndipo Yehova akamtokea Abramu na kusema: “Nitaupa uzao wako+ nchi hii.”+ Baada ya hayo akajenga madhabahu huko kwa ajili ya Yehova, aliyekuwa amemtokea.

  • Nehemia 9:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Nawe ukaona moyo wake kuwa ni mwaminifu mbele zako;+ basi ukafanya lile agano+ pamoja na yeye ili umpe nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori na Waperizi na Wayebusi na Wagirgashi, kuupa uzao wake;+ nawe ukatimiza maneno yako, kwa maana wewe ni mwadilifu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki