Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 6:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Wakati mhudumu+ wa yule mtu wa Mungu wa kweli alipoamka asubuhi na mapema, akaenda nje, na, tazama, hapo jeshi lilikuwa limelizunguka jiji kwa farasi na magari ya vita. Mara moja mtumishi wake akamwambia: “Ole, bwana wangu!+ Tutafanya nini?”

  • Yeremia 10:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Ninajua vema, Ee Yehova, kwamba njia ya mtu wa udongo haimo katika uwezo wake. Mwanadamu anayetembea hana uwezo wa kuongoza hatua yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki