-
1 Wafalme 22:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Yehoshafati alikuwa na umri wa miaka 35 alipoanza kutawala, naye akatawala miaka 25 katika Yerusalemu; na jina la mama yake lilikuwa Azuba binti ya Shilhi.
-