-
2 Wafalme 11:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Nanyi mnapaswa kumzunguka mfalme pande zote, kila mmoja akiwa na silaha zake mkononi mwake; na yeyote atakayeingia katikati ya vikosi atauawa. Nanyi mwendelee kuwa na mfalme anapotoka nje na anapoingia ndani.”
-