Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 16:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Mfalme alipokuja kutoka Damasko, ndipo mfalme alipoona ile madhabahu; naye mfalme akaikaribia ile madhabahu+ na kutoa matoleo juu yake.+

  • 2 Wafalme 16:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Naye akaendelea kutoa toleo lake la kuteketezwa+ na kufukiza moshi+ wa toleo lake la nafaka+ na kumimina toleo lake la kinywaji+ na kunyunyiza damu ya matoleo yake ya ushirika juu ya ile madhabahu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki