Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 3:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Naye atauweka mkono wake juu ya kichwa+ cha toleo lake, nalo litachinjwa kwenye mwingilio wa hema la mkutano; nao wana wa Haruni, makuhani, watainyunyiza damu yake kwenye madhabahu kuizunguka pande zote.

  • Mambo ya Walawi 4:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Naye atamleta ng’ombe huyo kwenye mwingilio wa hema la mkutano+ mbele za Yehova na kuuweka mkono wake juu ya kichwa cha ng’ombe huyo,+ naye atamchinja ng’ombe huyo mbele za Yehova.

  • Mambo ya Walawi 8:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Naye Musa akamchinja+ na kuichukua damu+ yake na kuitia kwa kidole chake juu ya pembe za madhabahu kuizunguka pande zote na kuitakasa madhabahu kutokana na dhambi, lakini ile damu nyingine akaimimina kwenye msingi wa madhabahu, apate kuitakasa ili afanye upatanisho+ juu yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki