Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 32:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kisha akaichukua ile ndama waliyokuwa wameifanya naye akaiteketeza kwa moto na kuipondaponda mpaka ikawa laini,+ kisha akaitawanya juu ya maji+ na kuwalazimisha wana wa Israeli wanywe.+

  • Kumbukumbu la Torati 9:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Nayo dhambi yenu mliyoitenda, yule ndama,+ nilimchukua, nikamteketeza katika moto na kumponda-ponda, nikamsaga kabisa mpaka akawa mavumbi laini; kisha nikayatupa mavumbi yake katika mto unaoteremka kutoka mlimani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki