Kumbukumbu la Torati 9:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Nayo dhambi yenu mliyoitenda, yule ndama,+ nilimchukua, nikamteketeza katika moto na kumponda-ponda, nikamsaga kabisa mpaka akawa mavumbi laini; kisha nikayatupa mavumbi yake katika mto unaoteremka kutoka mlimani.+
21 Nayo dhambi yenu mliyoitenda, yule ndama,+ nilimchukua, nikamteketeza katika moto na kumponda-ponda, nikamsaga kabisa mpaka akawa mavumbi laini; kisha nikayatupa mavumbi yake katika mto unaoteremka kutoka mlimani.+