2 Wafalme 23:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 Basi watumishi wake wakamsafirisha katika gari kutoka Megido akiwa amekufa, wakamleta Yerusalemu,+ wakamzika katika kaburi lake. Kisha watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi+ mwana wa Yosia wakamtia mafuta na kumfanya kuwa mfalme mahali pa baba yake.
30 Basi watumishi wake wakamsafirisha katika gari kutoka Megido akiwa amekufa, wakamleta Yerusalemu,+ wakamzika katika kaburi lake. Kisha watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi+ mwana wa Yosia wakamtia mafuta na kumfanya kuwa mfalme mahali pa baba yake.