1 Wafalme 10:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Kwa maana mfalme alikuwa na kundi la meli za Tarshishi+ baharini pamoja na kundi la meli za Hiramu. Mara moja kila miaka mitatu kundi la meli za Tarshishi zilikuja zikiwa zimebeba dhahabu+ na fedha, pembe za tembo,+ na sokwe na tausi. 2 Mambo ya Nyakati 9:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Na uzito wa dhahabu iliyoletwa kwa Sulemani katika mwaka mmoja ulijumlika kuwa talanta 666 za dhahabu,+
22 Kwa maana mfalme alikuwa na kundi la meli za Tarshishi+ baharini pamoja na kundi la meli za Hiramu. Mara moja kila miaka mitatu kundi la meli za Tarshishi zilikuja zikiwa zimebeba dhahabu+ na fedha, pembe za tembo,+ na sokwe na tausi.
13 Na uzito wa dhahabu iliyoletwa kwa Sulemani katika mwaka mmoja ulijumlika kuwa talanta 666 za dhahabu,+