Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 14:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Mtu asiye na uzoefu huamini kila neno,+ lakini mtu mwerevu huzifikiria hatua zake.+

  • Luka 11:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Malkia+ wa kusini atasimamishwa katika hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki naye atawahukumu kuwa wenye hatia; kwa sababu yeye alikuja kutoka miisho ya dunia ili aisikie hekima ya Sulemani, lakini, tazameni! Aliye mkuu+ kuliko Sulemani yupo hapa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki