Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 10:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Nami sikuyaamini maneno hayo mpaka nilipokuja ili nijionee kwa macho yangu mwenyewe; na tazama! sikuwa nimeambiwa hata nusu.+ Umezidi katika hekima na mafanikio, mambo yale niliyoyasikia.+

  • Yohana 20:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Kwa hiyo wanafunzi wengine wakawa wanamwambia: “Tumemwona Bwana!” Lakini yeye akawaambia: “Nisipoona katika mikono yake alama ya misumari na nitie kidole changu katika alama ya misumari na kuutia mkono wangu ndani ya ubavu wake,+ hakika mimi sitaamini.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki