Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 20:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Lakini siku ya saba ni sabato kwa Yehova Mungu wako.+ Usifanye kazi yoyote, wewe wala mwana wako wala binti yako, mtumwa wako wala kijakazi wako wala mnyama wako wa kufugwa wala mgeni wako aliye ndani ya malango yako.+

  • Hesabu 28:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “‘Hata hivyo, siku ya sabato+ kutakuwa wana-kondoo dume wawili ambao hawana kasoro wenye umri wa mwaka mmoja na vipimo viwili vya sehemu ya kumi ya unga laini ukiwa toleo la nafaka lililotiwa mafuta, pamoja na toleo lake la kinywaji,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki