10 Kwa hiyo Toi akamtuma Yoramu mwana wake kwa Mfalme Daudi aulize hali yake+ na kumpongeza kwa sababu alikuwa amepigana na Hadadezeri na kumpiga (kwa maana Hadadezeri alikuwa amezoea kupigana na Toi); na mkononi mwake alikuwa na vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na vyombo vya shaba.+