2 Wafalme 3:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Naye Mesha+ mfalme wa Moabu akawa mfugaji wa kondoo, akamlipa mfalme wa Israeli wana-kondoo mia moja elfu na kondoo-dume mia moja elfu ambao hawajakatwa manyoya.
4 Naye Mesha+ mfalme wa Moabu akawa mfugaji wa kondoo, akamlipa mfalme wa Israeli wana-kondoo mia moja elfu na kondoo-dume mia moja elfu ambao hawajakatwa manyoya.