Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 14:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Na mfalme akaendelea kusema: “Je, mkono wa Yoabu+ upo pamoja nawe katika mambo haya yote?”+ Ndipo yule mwanamke akajibu na kusema: “Kama inavyoishi nafsi yako,+ Ee bwana wangu mfalme, hakuna mtu anayeweza kwenda upande wa kuume wala wa kushoto kutoka kwa yote ambayo bwana wangu mfalme amesema; kwa maana mtumishi wako Yoabu ndiye aliyeniamuru, naye ndiye aliyetia maneno haya yote katika kinywa cha mjakazi wako.+

  • Yeremia 1:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Basi Yehova akanyoosha mkono wake na kunigusa kinywa+ changu. Ndipo Yehova akaniambia: “Tazama, nimeyatia maneno yangu katika kinywa chako.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki