Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 5:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 “Na ikiwa nafsi inatenda dhambi kwa kuwa anafanya moja kati ya mambo ambayo Yehova anaamuru yasifanywe, ingawa hakujua,+ hata hivyo amekuwa na hatia na lazima atajibu kwa sababu ya kosa lake.+

  • Mambo ya Walawi 6:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 basi itakuwa kwamba akitenda dhambi na kuwa na hatia,+ lazima atarudisha kile kitu alichopata kwa unyang’anyi au alichopata kwa upokonyaji ambacho amechukua kwa kupunja au kitu alicho nacho ambacho alipewa au kitu kilichopotea ambacho amekipata,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki