Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 23:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Tena Yehoyada kuhani akawapa wale wakuu wa mamia+ mikuki na ngao na ngao za mviringo+ zilizokuwa za Mfalme Daudi,+ ambazo zilikuwa katika nyumba ya Mungu wa kweli.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 23:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Naye akawasimamisha watu wote,+ kila mmoja akiwa na silaha yake mkononi mwake, kuanzia upande wa kuume wa nyumba mpaka upande wa kushoto wa nyumba, kando ya madhabahu na kando ya nyumba, pande zote karibu na mfalme.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki