Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nehemia 2:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kisha nikamwambia mfalme: “Ikiwa inaonekana vema kwa mfalme,+ na ikiwa mtumishi wako anaonekana mwema mbele yako,+ unitume Yuda, kwenye jiji la makaburi ya mababu zangu, nipate kulijenga upya.”+

  • Nehemia 2:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Ndipo mfalme akaniambia, huku malkia wake akiwa ameketi kando yake: “Safari yako itachukua muda gani, nawe utarudi wakati gani?” Basi ikaonekana vema+ kwa mfalme kunituma, nilipompa wakati uliowekwa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki