Nehemia 2:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Ndipo mfalme akaniuliza hivi huku malkia wake akiwa ameketi kando yake: “Safari yako itachukua muda gani, nawe utarudi lini?” Basi jambo hilo likampendeza mfalme, akaniruhusu niende,+ nami nikamwambia muda hususa.+
6 Ndipo mfalme akaniuliza hivi huku malkia wake akiwa ameketi kando yake: “Safari yako itachukua muda gani, nawe utarudi lini?” Basi jambo hilo likampendeza mfalme, akaniruhusu niende,+ nami nikamwambia muda hususa.+