Esta 4:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Kisha Esta akamwita Hathaki,+ mmoja wa matowashi wa mfalme, ambaye mfalme alikuwa amemweka amhudumie Esta, akampa amri kumhusu Mordekai, apate kuyajua mambo hayo na maana yake.
5 Kisha Esta akamwita Hathaki,+ mmoja wa matowashi wa mfalme, ambaye mfalme alikuwa amemweka amhudumie Esta, akampa amri kumhusu Mordekai, apate kuyajua mambo hayo na maana yake.