12 Lakini Malkia Vashti akazidi kukataa+ kuja kufuatia agizo la mfalme kwa mkono wa maofisa wa makao ya mfalme. Kwa hiyo mfalme akaudhika sana na ghadhabu yake ikawaka ndani yake.+
17 Naye mfalme akampenda Esta kuliko wale wanawake wengine wote, hata akapata kibali na fadhili zenye upendo kuliko wale mabikira wengine wote.+ Ndipo mfalme akamvika taji la kifalme juu ya kichwa chake na kumfanya kuwa malkia+ badala ya Vashti.