-
Esta 2:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Basi huyo mwanamke kijana akawa mwenye kupendeza machoni pake, akapata fadhili zenye upendo+ mbele yake, akafanya haraka kumpa vifaa vya kukandia+ na chakula chake kinachostahili, na kumpa wanawake vijana saba waliochaguliwa kutoka katika nyumba ya mfalme. Naye akamhamisha yeye na wale vijana wake mpaka mahali palipo bora zaidi nyumbani mwa wanawake.
-