-
Danieli 6:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Kisha wakakaribia na kusema mbele ya mfalme kuhusu ile amri ya marufuku ya mfalme: “Je, hakuna amri ya marufuku ambayo wewe umetia sahihi inayosema kwamba mtu yeyote anayetoa ombi kwa mungu yeyote au mwanadamu kwa siku 30 isipokuwa kwako, Ee mfalme, atupwe ndani ya shimo la simba?”+ Mfalme akajibu na kusema: “Jambo hilo limesimamishwa imara kulingana na sheria ya Wamedi na Waajemi, ambayo haifutwi.”+
-