Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezra 4:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 ili ufanywe uchunguzi wa kitabu cha kumbukumbu+ za mababu zako wa kale. Ndipo utakapopata kujua katika kitabu hicho cha kumbukumbu kwamba jiji hilo ni jiji lenye kuasi linalosababisha hasara kwa wafalme na wilaya za utawala, na ndani yake mlikuwa na wachochezi wa uasi tangu siku za zamani. Ndiyo sababu jiji hilo limefanywa ukiwa.+

  • Esta 6:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Usiku huo usingizi wa mfalme ulimtoka.+ Kwa hiyo akasema kwamba kitabu cha kumbukumbu+ za mambo ya nyakati kiletwe. Kisha mambo hayo yakasomwa mbele ya mfalme.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki