Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 39:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Tazama! Umezifanya siku zangu kuwa chache tu;+

      Na urefu wa maisha yangu si kitu mbele zako.+

      Kwa kweli kila mtu wa udongo, ingawa anasimama imara, si kitu ila pumzi tu.+ Sela.

  • Yakobo 1:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kwa maana jua huchomoza pamoja na joto lake lenye kuunguza na kuyanyausha majani, na ua lake huanguka na uzuri wa sura yake ya nje huharibika. Vivyo hivyo, pia, mtu tajiri atanyauka katika njia zake za maisha.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki